Uso kua na mabaka mabaka kama mmba

tya02

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
850
Reaction score
1,061
Poleni na majukumu,
Naombeni ni wasilishe tatzo langu,uso wangu umekua kama una mabaka mabaka kama mmba hivi hasa hasa sehemu za mashavu kuzunguka mpk kwenye kidevu .Hii hali inanichukiza sana wadau ,nilishawahi kwend hosp kubwa tu wakaniambia vipodozi ninavyotumia ndio vimesababisha nikaacha kupaka kitu usoni, lakin sas hvi yamerudi tena.
Naomben ushauri wadau nifanyeje au nipake dawa gani y usoni itakayoondoa hii hali.
Asante
 
Ma Dr wa JF sikuhiz mmekuwaje? Yaan JF DR imepoa sanaaa
Why?view zipo reply zero why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…