Bado hayajafika tu?Aiseeeee yajayo yanafurahisha
Ha Ha Ha.Mtoa mada unatakiwa kwenda kushare hizi habari kwa yule DC wa kahama aliempokea kwenye ule ugeni wa chuo cha sayansi maana waliahidiwa pia msaada wa mamilioni kadhaa ya pesa
ha ha ha!Zile Zilikuwa Drama Zake Na Kile Chama Cha Kijani.
Sasa Wamemchinjia Baharini Mzee Wa Watu Anazunguka Na Jiji Kutwa Mpaka Soli Za Viatu Zinaingia Ndani.
In Short Wakimaliza Kukutumia Ni Kama Pedi Wanakutupa Kwa Dust Bin ...[emoji41][emoji41]