Uso kwa Uso na Mtikila- Akataa Hongo ya Millioni 100!

Hizo ndizo dalili zenyewe za insanity, na kwa vile sasa its two years on na hajamlipua!, inamaanisha hatimaye ....akakaa kimya!.
P.
 


Jiandae kushtakiwa na mtikila....fidia billioni mia moja.....
 
Jiandae kushtakiwa na mtikila....fidia billioni mia moja.....
Mkuu Van Diesel, nitakiri kosa na kukubali kulipa hiyo pesa kwa kufilisiwa!. Atajipatia Laptop yangu IBM 210 Pentium 0 yenye Hard Drive ya 20 GB, simu yangu Nokia ya Tochi na ile boda boda yangu kwenye junk yard vyote total value haifiki hata TZS 500,000!. NB kushindwa kulipa deni sio kosa la jinai, unafilisiwa tuu kila ulicho nacho, then na life goes on!.
 

Kwa ujiniaz wa mtikila angeweza kudai umlipe sh 1 kila siku maisha yako yote....
 
Mmh!! Siamini kama Mtikila atakataa hongo ya aina yoyote ile!! Kumbuka ile saga la Rostam!! Alichukua hela halafu akamkandia jamaa akaweka ushahidi kewenye magazeti!! Ngumu kuamini. S
 
Huyu naye alisakamwa kwa kupokea fwedha lakini leo mwingine anatetewa. teh teh teh teh
 
Wandugu, leo nimemkubuka Rev. Mtikila, jee kuna yeyote mwenye taarifa yake na harakati zake?!, mara ya mwisho kumsikia ni kwenye BML ambako chama chake cha DP kiliwakilishwa na watu wawili, yeye na mkewe!, baada ya pale sijamsikia tena!. Mwenye an update ya Mtikila naomba atujuze!.

Pasco
 
Huyu jamaa huwa naamini Ana connections za hatari Sana,anajua mengi Sana,jamaa anaishi kwenye ulimwengu wake
 

Pasco embu fafanua kivipi leo ndio umemkubali, nimejaribu kuunganisha ideas lakini bado sijapata kitu, au labda issue ya Kamukara?!
 
Last edited by a moderator:

Hahaha yaani hiki chama cha DP ni cha Mtikila na mkewe
 
Pasco embu fafanua kivipi leo ndio umemkubali, nimejaribu kuunganisha ideas lakini bado sijapata kitu, au labda issue ya Kamukara?!
Nimemkumbuka kufuatia insane mwingine mmoja kugundulika na kuzuiliwa kuchangia mada kwenye ITV!.

Pasco
 
Nimemkumbuka kufuatia insane mwingine mmoja kugundulika na kuzuiliwa kuchangia mada kwenye ITV!.

Pasco

Katika hili nakukubalia. Unajua hata chizi anaweza kufanya jambo moja la maana katika kumi anayofanya. Mtikila ni chizi kama huyo aliyezuiwa kuchangia mada katika ITV. Sasa kama moja tuu kati ya kumi ndio zuri kwa nini kumpa nafasi halafu tisa aharibu kwa uchizi wake? Unamzuia chizi huyo kumpa nafasi.
 
Mm Mzee mtikila huwa naogopaga kumsikiliza..naona kama ata haribu atmosphere ya nnch hiv
 

Mimi niliwahi kumkuta ofisi flani Posta. "Tukamchokoza" kuhusu Chadema na kuhusu Mwalimu JKN. Alishusha maneno makali (matusi?), nikahitimisha sio mzima upstairs.

Ila kusema kweli anaonekana ana akili ila tatizo kuzitumia tu.
 
Mtoa post kwanza rekebisha post yako alikua mjumbe wa pili kwenye bunge la katiba si mke wa mtikila bali alikua katibu wanawake taifa na jina lake ni suzan maro nyambabe ni dada yake na katibu mkuu wa chama cha nccr mh mosena nyambabe na alitimuliwa kwenye chama kwa kosa la yeye kubaki bungeni kwa kukataa kwake kuunga mkono ukawa hivyo ilikua ni kuasi maamuzi halali ya chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…