Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
lakini you must admit alikuwa star mkubwa enzi zake na weusi wengi tulijivunia about his success. Au umesahau, bana?
Point taken! But I remain an Obama fan (not because of his skin color! ) Hahaaa!Hapana sijasahau. Ni kweli alikuwa nyota mkubwa enzi zake na alikuwa na crossover success na ni Wamarekani wengi (weusi kwa weupe) waliokuwa wakijivunia success yake. Pia ame-influence wasanii wengine wengi tu (weusi kwa weupe).
Mi nakutaka tu uachane na hii dhana ya "sisi weusi" kila wakati na katika kila kitu. Acha kuangalia kila kitu kupitia mwanga wa rangi ya ngozi ya mtu.
Point taken! But I remain an Obama fan (not because of his skin color! ) Hahaaa!
Hahahahaaa..you need to get over your mancrush with him....
Lakini seriously, Nyani, unaamini kwamba baada ya miaka 20 ya kujichubua Michael Jackson anadai kuwa ana ugonjwa wa vitiligo? Mi siwezi ku-accept hiyo....
Michael sio kwamba kajitangazia mwenyewe karibuni kuwa ana vitiligo; hii ni fact ambayo imekuwepo for a long time, jaribu kuangalia hata kwenye mitandao utagundua hilo ni kweli. Na picha za kwenye media mbalimbali ambazo hazimfagilii zitaonyesha pua imeoza, imedondoka! C'mon, Michael is among the most famous men on earth hakuna kitu watakachotaka kufanya media zaidi ya kutata kitu cha kumfanya aonekana "ngesem" iwe afya yake, iwe kumsingizia kesi etc, lakini wamemshindwa.Lakini seriously, Nyani, unaamini kwamba baada ya miaka 20 ya kujichubua Michael Jackson anadai kuwa ana ugonjwa wa vitiligo? Mi siwezi ku-accept hiyo....