Hii ni wiki ya pili sasa, uso wangu una vipele vidogodogo na unawasha sana, najikuna sana na umeanza kuharibika kwa mikwaruzo ya kujikuna. any help plz

itabidi nikapate tiba maana muwasho unazidi