Uso wangu umeharibika baada ya kujifungua

Bi nyakomba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
385
Reaction score
104
Habari Ndugu zangu.
Uso wangu umefubaa baada ya kutoka uzazi na hauvutii. chunusi na mabaka kwa wingi. yani nimeparara haswa.
nitumie nn niwe smooth. mie ni mweusi. thanks in advnce
 
Muambie mumeo akutunze bwana. Wenzio wakitoka uzazi wanakuwa smooth, warembooo yaani ndo maana wanaunga trela. Mtu anatoka maternity na mimba ya wiki. Lol

cc Asprin, kwa madesa zaidi
cc snowhite na Kongosho, kwa twisheni ya jinsi ya kudai haki
habari Ndgu zangu.

USO wangu umefubaa baada ya kutoka uzazi na hauvutii. chunusi na mabaka kwa wingi. yani nimeparara haswa.

nitumie nn niwe smooth. mie ni mweusi. thanks in advnc
 
Last edited by a moderator:
Muambie mumeo akutunze bwana. Wenzio wakitoka uzazi wanakuwa smooth, warembooo yaani ndo maana wanaunga trela. Mtu anatoka maternity na mimba ya wiki. Lol

cc Asprin, kwa madesa zaidi
cc snowhite na Kongosho, kwa twisheni ya jinsi ya kudai haki

kingasti ki ukweli ananitunza sana baby. USO ndo uliharibika toka ninamimba swtht
 
Last edited by a moderator:
ngoja kwanza upate desa bwana. Unajuaje anakutunza? Au ulishakuwa na mume tafauti akakutunza pungufu, lol.

Nakutania mwaya. ila kiukweli, namuachia ODM aje aseme. Asprin sijui kalowekewa wapi?

Hebu mwelekeze huku Mamsera nimsaidie pale mumewe aliposhindwa.....
 
ngoja kwanza upate desa bwana. Unajuaje anakutunza? Au ulishakuwa na mume tafauti akakutunza pungufu, lol.

Nakutania mwaya. ila kiukweli, namuachia ODM aje aseme. Asprin sijui kalowekewa wapi?

hahaha King'asti eti desa. mbutananga
 
Last edited by a moderator:
Anamsifia mumewe eti anamtunza, kwani mtori wa dagaa unalainisha mzazi? hehehe hajui huyu mambo ya mamsera. Unakula kiburluu, na mkia wa kondoo ukitoka hapo kama mzungu vile!:llama::llama:
Hebu mwelekeze huku Mamsera nimsaidie pale mumewe aliposhindwa.....
 
Acheni kuchakachua bana..

Mkiongozwa na mangi Aspirin
 
Komeka iyo dawa itaje tu isaidie wengi mpaka akupm jaman..!? Usitunyime uondo

actually ni sabuni inaondoa chunusi ,madoa ,kurudisha ngozi kwny hali yake baada ya kuathirika na mkorogo pia inasaidia km una fungus au mwili unatoa harufu kali vile vile unaweza kuitumia kwa kufanyia steaming kwa wanawake ili nywele zisikatike, la mwisho kbsa huifanya ngozi kuwa nga`avu na yenye afya km utahitaji nipigie 0719100531
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…