kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Hii inaweza kusaidia .....vitunguu saumu nomaSaga vitunguu saumu uvichemshe kwenye maji kisha epua jifunike kichwani ili mvuke usitoke uache mvuke ukupige usoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Person fourtyNijuavyo mm perssol ziko kama aina tatu...sasa cjui ni ipi usemayo weye...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila yataka uvumilivu wa hali ya juu hadi uone matokeooHii hapa tea tree iko vizuri sana kwenye ngozi ya uso yenye mafuta.. Pia ni kwa jinsia zote na haichubui, karibu sana.
Ukihitaji tuwasiliane 0672416294/0629273281
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaleta matokeo kuanzia wiki na kuendelea sababu imetengenezwa kwa malighafi asilia, karibu sana.Ila yataka uvumilivu wa hali ya juu hadi uone matokeoo