nipigie
Kama title inavyojieleza,marafiki mwenzenu nina shida kubwa ya mafuta mengi usoni,kila mafuta ninayotumia yanagonga mwamba kiasi kwamba nimeamua kutotumia mafuta yoyote yale ili kuepukana na tatizo la pimples.
Umri wangu ni mkubwa tu(30yrs) but bado nikipaka mafuta kama nivea for men,rapid white 21 jours,vaseline men body lotion,HOBBY na mengineyo mengi tu lakini yoote hayo yote nimepiga mbizi kwenye kokoto.Wengi watanishauri kwenda SH HARMONY lakini kama kuna njia mbadala naombeni msaada wakuu,thanks in advance!
Tafuta kitu kinaitwa "clean and clear"---facial wash. Ni maarufu ya kuoshea uso. Haina sabuni. Hakikisha unaosha uso wako kila mara upatapo nafasi kwa hiyo kitu. Ukioga kabisa malizia kunawa uso kwa hiyo kitu. Acha kupaka mafuta au lotion kabisa. Utajiona uso umepauka lakini ukikaa kidlgo tu utaona uso utakuwa vizuri tu. Mimi nilikjea na chunusi zaidi ya cheaping za ukuta! Kwasasa sina hata moja. Uso bado unamafuta ila nimeacha kupaka mafuta wala lotion.
Nimesoma mahali Kuwa baking soda ni alkaline so INA disturb PH ya USO inaifanya ngozi I we rahisi kushambuliwa na vt kama chunusiTafuta Baking Soda Na Uandae Uji mzito Upake Uso Kaa Nao Kwa Dak 5
mkuu vp zliondoka chunus??ulitumia tiba gansh hamon wahun tu nilishawahi kwenda pale kwa tatizo kama hilo lakn walinifungia makorokoro ya elf 50 lakn kutumia chunus palepale
zingatia huu ushauri mm mwenyew shuhuda ,,Polesn kwa tatizo ila sasa utafurahi. Tafuta asali uichemshe kidogo na tango ulilolisaga. Baada ya sekunde chache epua, acha ipoe. Kisha paka usoni iache kwa muda wowote haina madhara ukichoka toa nawa uso wako. Asubuhi kuwa na tabia ya kunywa maji yenye uvuguvugu kwa mbali km lita hivi lkn uchanganye na asali ni dawa pia. Pamoja na hayo kiujumla penda kunywa maji mengi.
Ni dawa ya asili haina madhara yoyote na haina cha kuchagua ngozi wala nini.
Achana kbs na mambo ya lotion sijui cream. Utafurahi kwa muda ila itabidi uwe mtumwa wa hivyo vitu muda wote.