A aniasteph Member Joined Aug 12, 2016 Posts 24 Reaction score 23 Sep 17, 2016 #1 Habari, Mimi nina tatizo, uso wangu umekua na rashes na makovu meusi ila sijui tatizo ni nini, nilishauriwa kutumia carotone ila nmeng'aa tu Ila makovu yenye weusi bado yapo Msaada wenu wa mafuta ama sabuni ambazo hazichubui pls
Habari, Mimi nina tatizo, uso wangu umekua na rashes na makovu meusi ila sijui tatizo ni nini, nilishauriwa kutumia carotone ila nmeng'aa tu Ila makovu yenye weusi bado yapo Msaada wenu wa mafuta ama sabuni ambazo hazichubui pls
K Kakonko Member Joined Aug 6, 2013 Posts 30 Reaction score 7 Sep 17, 2016 #2 Tumia optimal even out toka oirframe