Usokomoko mmbaya sana.

Usokomoko mmbaya sana.

Joined
Sep 26, 2016
Posts
68
Reaction score
51
Kuna jamaa chapombe sanaa kila baa mtaani kwetu anaijua yeye anajiiita mchanga hachagui maji. Sasa Siku mmoja jirani yake alimuozesha binti yake. Alitaka kumfanyia sendoff. Basi jamaaa akawa mstari wa mbele sana kwenye ilee hatua za vikao naliahidi kutoa hela nyingi na alizitoa zote. Lkn kila anapotoa alinuia apate nafasi ya kuwa mwenyekiti wa vinywaji. Basi baada ya kumaliza vikao siku mbili mbele wanafamilia na jamaa wakakusanyika ili kuunda kamati jamaa alikuwa wa kwanza kufika. Basi muda wote roho inamuenda mbio huku akisali kimoyomoyo apewe uenyekiti wa vinywaji. Mungu sio athumani bhana watu wakamchagua kuwa mwwnyekiti wa vinywaji jamaa alijawa na furaha mpka akaanguka palepale akazimia.... Kuja kusituka yupo hospitali baada ya faham zake kukaa sawa cha kwanza kuuliza ilikuwa sherehe akaambiwa sherehe imepita Siku tatu nyuma hivyo amechelewa. Jamaa alilia mpka hospitali ilifungwa. Ama kweli usokomoko mmbaya.
 
Aisee!! hadithi yako inatufunza nini[emoji86] [emoji86]
 
Utacheka vipi wakati ni full stress....au sababu ya mtu wako kukosa MKOPO...Lia basi tuone...
 
Back
Top Bottom