Madaktari watakusaidia mkuu subiri.Habari wana jamvi, naomba kueleweshwa namna bora ya kusoma kipimo Cha HIV (rapid test).
Nimenunua kipimo, nikasafisha kidole Kisha nikatoboa na kupima damu, kwenye kifaa hicho, ndani ya dk 10-20 za mwanzo Mstari mmoja C, ndani ya saa moja bado ilikuwa mstari mmoja C, baada ya masaa 3 kipimo kikabadilika kabisa na kuwa na mistari 3 na yote miwili ya mwisho imetokea kwa kufatana ama kwa pamoja.
Naomba mawazo yenu wadau.
sawa mkuuMadaktari watakusaidia mkuu subiri.
Asante mkuuKipimo kinafanya kaz kwa Dakika 10. Baada ya hapo kinaanza kusoma mahonjwa mengine kama UTI, Malaria etc
Kafanye kipimo kikubwa (sijui kinaitwa Confirmation) kama kuanza dawa uanze mapema. Achana na hao waogaAsante mkuu
Nahitaji hivyo vipimo, vinapatikana pharmacy bila tatizo?Mrejesho
habari wana jamvi, niliamua kwenda kupima hosp mbili tofauti moja ni private na nyingine ya serekalii.
majibu yalikuwa Niko Negative kabisa na hakika nilifurahi kwasababu kipimo Cha awali kilianza kubadilika baada ya nusu sana na kuchora mistari mingi
kingine siyo kweli kuwa kikichora mistari mingine ni una UTI, ama malaria ama Nini, vyote nilipima na nilikuwa fresh kabisa Sina magonjwa yoyote.
ushauri wa bure, jaman tukapime hospitali kabisa kwa wataalam, haya mambo ya kujipima siyo sawa kabisa yanatia presha na kufwa kwa mawazo!
Asante sanaKipimo kinafanya kaz kwa Dakika 10. Baada ya hapo kinaanza kusoma magonjwa mengine kama UTI, Malaria etc