USPS package to Tanzania ? - Anybody

BrainPower

Senior Member
Joined
May 19, 2009
Posts
146
Reaction score
1
Habari za Jumapili .

Naomba kuuliza.

Je Kuna mtu ameshawahi kutuma kitu kwenda Dar kwa kutumia USPS - United States Postal Services na Kikafika ? Je kama ulifika uliuchukulia mzigo wapi (Agents)?

Nina madhumuni ya kutuma HardDisk Yangu . Sitaki iyeyuke hewani bureeee

Asante,

B.P
 
Unatuma tu kawaida, ila kisizidi pound 4 - maana watakucharge customs.

Unayemtumia atatumia a notification ( a blue or yellow card kwenye box) kwamba mzigo umefika, then unaenda posta ( the package section ambayo ipo mwisho wa posta mpya, nje kidogo ya jengo la posta - the space between posta na the next building).Hii ni kama mambo hayajabadilika.

Siku njema!
 
Ongeza hela kidogo utume kwa ems, mtu wako atapigiwa simu mzigo ukifika. Inachukua siku 3-5 na unauhakika wa mzigo kufika. Vifaa vya komputa hamna kodi nadhani kwahiyo ni juhudi yako tu kuwaeleza hicho ni kifaa cha computer. La sivyo watakuwekea kodi kwa bei waoijuawao sio uliyoandika
 
tuma express wala sio hela nyingi na ni 3 to 5 days hio hio na weka namba yako ya simu mtu wako atapigiwa simu ikifika.
 


Mimi nilijaribu 18 months ago na mpaka leo havijafika even though ile tracking # ya USPS inaonyesha mizigo ilifika bongo post Office within 5 days. Mizigo ilikuwa external hard drives,dvd na vingine.
 
Mimi nilijaribu 18 months ago na mpaka leo havijafika even though ile tracking # ya USPS inaonyesha mizigo ilifika bongo post Office within 5 days. Mizigo ilikuwa external hard drives,dvd na vingine.
Bongo tambarare..pole mdau
 
Naogopa kuna mzigo naungoja, ukifuatilia posta wanasemaje?
 
nimeshawahi pata mzigo kwa USPS mara moja ulifika salama hakukuwa na tatizo. nenda posta office ulizia watasaidia kutrack
 
mm nilitumiwa kamera na ilitaiwa kufika baada ya siku 14 lakini ilifika ndani ya siku 10...mzigo ulikua na namba ya simu...posta walinitumia sms mzigo wangu umefika na nikaenda upokea next day bila tatizo lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…