USSD haileti keyboard ya maneno nifanye nini?

USSD haileti keyboard ya maneno nifanye nini?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
wakuu habari ningependa kujua au kupata ufafanuzi na utatuzi kama inawezekana.

USSD imekuwa haileti keyboard ya maneno ni namba tu so siwezi kuandika hata #.

Nifanye nini kutatua?

Screenshot_20231221_172616_com.android.phone.jpg
 
Flying fish ya leo wamenimixia na captain morgan.. sioni mbele
have you ever try frangelico..? hii itakufaa sana itafute uone dunia kwa upande mwengine...
 
Back
Top Bottom