Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Download app zaoWakuu msaada tutani ,nina changamoto ya kuingia menu kwa simu ya sumsung Z ford 2 nimanisha mfano kuingia kwenye tigo pesa au mpesa kwa menu yake , kuunga vifurushi n.k tatizo limeanza ghafla ...View attachment 2024092
hahahahahahaUkome kununua simu za mbei mbaya bila ya sababu. Eti hilo box ni 3 million
Wakuu msaada tutani ,nina changamoto ya kuingia menu kwa simu ya sumsung Z ford 2 nimanisha mfano kuingia kwenye tigo pesa au mpesa kwa menu yake , kuunga vifurushi n.k tatizo limeanza ghafla ...View attachment 2024092
Nilikutana na mama mmoja Fold yake nayo ina tatizo Hili, sio version ya Korea Hii?Wakuu msaada tutani ,nina changamoto ya kuingia menu kwa simu ya sumsung Z ford 2 nimanisha mfano kuingia kwenye tigo pesa au mpesa kwa menu yake , kuunga vifurushi n.k tatizo limeanza ghafla ...View attachment 2024092
Kuna Siri Gani Chief kwenye Korean version kugomea hizo USSD menuNilikutana na mama mmoja Fold yake nayo ina tatizo Hili, sio version ya Korea Hii?
Temporary solution ni kama wadau walivyotoa suggestion juu Tumia Apps zinaunga pia Vifurushi, kama unatumia Tigo Hamia Kabisa postpaid.
Sababu hawatumii huko kwao, Hata za Usa mitandao ya CDMA kama Verizon ama Zamani Sprint ikiwa haijatolewa Lock vizuri haikubali ussd.Kuna Siri Gani Chief kwenye Korean version kugomea hizo USSD menu
Pia cheki cheki updates, unaweza kuta kukawa na update itakayokuja Kufix hio issue.Asantee mkuu
Ooh kumbe.Asante kwa ufafanuzi ChiefSababu hawatumii huko kwao, Hata za Usa mitandao ya CDMA kama Verizon ama Zamani Sprint ikiwa haijatolewa Lock vizuri haikubali ussd.
Hata hapa kwetu Zamani sasatel, TTCL na Zantel CDMA zilikuwa hazina ussd, ukitaka kuangalia salio unapiga tu 102 unaambiwa salio kwa sauti, ukitaka kuweka salio unapiga 104 sauti inakwambia weka Vocha etc.