Ustaadh matatani madai ya kumfanyia ukatili mwanawe
Musoma. Ustaadh wa msikiti wa Aljazeera uliopo katika Mtaa wa Nyabisare, manispaa ya Musoma mkoani Mara ameingia matatani kwa tuhuma za kumfanyia ukatili na kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili...
Chanzo: Mwananchi
KUNA MIJITU INA ROHO MBAYA SANA HUMU DUNIANI