O Oldmantz JF-Expert Member Joined Jan 24, 2023 Posts 704 Reaction score 1,457 Jun 22, 2024 #1 Ustaadh matatani madai ya kumfanyia ukatili mwanawe Musoma. Ustaadh wa msikiti wa Aljazeera uliopo katika Mtaa wa Nyabisare, manispaa ya Musoma mkoani Mara ameingia matatani kwa tuhuma za kumfanyia ukatili na kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili... www.mwananchi.co.tz Chanzo: Mwananchi KUNA MIJITU INA ROHO MBAYA SANA HUMU DUNIANI
Ustaadh matatani madai ya kumfanyia ukatili mwanawe Musoma. Ustaadh wa msikiti wa Aljazeera uliopo katika Mtaa wa Nyabisare, manispaa ya Musoma mkoani Mara ameingia matatani kwa tuhuma za kumfanyia ukatili na kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili... www.mwananchi.co.tz Chanzo: Mwananchi KUNA MIJITU INA ROHO MBAYA SANA HUMU DUNIANI
Kelvin35 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2023 Posts 698 Reaction score 1,112 Jun 22, 2024 #2 Kwani DNA inasemaje..?