Ustaadh Yasin: Meddy Kibao alikuwa mkuu wa Hamasa Chadema sasa Giza limetanda hakuna Hamasa tena, na Huu waweza kuwa ni Mwanzo wa Mwisho!

Ustaadh Yasin: Meddy Kibao alikuwa mkuu wa Hamasa Chadema sasa Giza limetanda hakuna Hamasa tena, na Huu waweza kuwa ni Mwanzo wa Mwisho!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ustaadh Yasin wa Taqwa masjid anasema kama Chadema hawatasimama sawa sawa Kifo Cha Meddy Kibao ndio Mwanzo wa Mwisho wao

Ustaadh Yasin anasema kitendo cha Chadema kushindwa kumfanyia hata Hitma nyota Yao hii iliyofia Vitani kutawagharimu bila Wenyewe kujijua

Ustaadh Yasin alikuwa akijibu maswali mbalimbali ya Wachamungu na ndiye aliyesema Kisomo Cha Tanga kinaweza kuanzia kudhuru mbali sana kabla Watu hawajashtuka

Ahsanteni Sana 😃
 
Kwanini mboe aliwazuia wananchi msbani waliokuwa wanataka majibu ya kifo cha medy kutoka kwa msahuni
 
Mi najua alikuwa Mkuu wa Salama wa Ndani ya Chama na Kiongozi wa Red Brigade.
 
Kwanini mboe aliwazuia wananchi msbani waliokuwa wanataka majibu ya kifo cha medy kutoka kwa msahuni
Wakina mbowe na matapeli wenzake ndani ya chadema walitaka kuget rid ya ile timu yote cream ya wakina Lema, Msigwa, na Heche wote wasipate uenyekiti wa Kanda. Hilo likafanikiwa. Mission ikawa tunamtoaje Lissu. Wakaona ingiza Wenje ambae muda wote ni "Yes Sir". Lissu nae akachapa "ambush" ya maana. Nakufuata hukohuko juu 😅😅😅

Utaona hata kwenye ule msiba approach ya Mbowe ilikuwa tofauti na approach ya Lema. Mbowe ana unafki mwingi sana.
 
Mimi si mwana ccm ila nikiangalia naona kama ndani ya chadema na upinzan kwa hapa kwetu Tanzania kuna vitu haviko sawa. Ni kama kuna uroho wa madaraka. Ni afadhali kama tunataka mabadiliko basi yafanyike ndani ya ccm yenyewe kuliko kutegemea upinzani ambao umeshindwa kujisimamia kikamilifu.

Kwa mtu kama ali kibao kwa heshima aliyokuwa nayo na kwa kifo chake ambacho kilipelekea taharuki kubwa nchini na kutangaza maandamano mpaka kumfanya rais atamke maneno yaliyogusa mataifa makubwa. Isingefaa arobain yake ipite kimya kimya. Chama kingeibeba na kutufanya tumkumbuke shujaa wetu kibao R.I.P
 
Back
Top Bottom