johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mi najua alikuwa Mkuu wa Salama wa Ndani ya Chama na Kiongozi wa Red Brigade.Ustaadh Yasin wa Taqwa masjid anasema kama Chadema hawatasimama sawa sawa Kifo Cha Meddy Kibao ndio Mwanzo wa Mwisho wao
Ustaadh Yasin anasema kitendo cha Chadema kushindwa kumfanyia hata Hitma nyota Yao hii iliyofia Vitani kutawagharimu bila Wenyewe kujijua
Ustaadh Yasin alikuwa akijibu maswali mbalimbali ya Wachamungu na ndiye aliyesema Kisomo Cha Tanga kinaweza kuanzia kudhuru mbali sana kabla Watu hawajashtuka
Ahsanteni Sana π
Red brigade ilifutwaMi najua alikuwa Mkuu wa Salama wa Ndani ya Chama na Kiongozi wa Red Brigade.
Wakina mbowe na matapeli wenzake ndani ya chadema walitaka kuget rid ya ile timu yote cream ya wakina Lema, Msigwa, na Heche wote wasipate uenyekiti wa Kanda. Hilo likafanikiwa. Mission ikawa tunamtoaje Lissu. Wakaona ingiza Wenje ambae muda wote ni "Yes Sir". Lissu nae akachapa "ambush" ya maana. Nakufuata hukohuko juu π π πKwanini mboe aliwazuia wananchi msbani waliokuwa wanataka majibu ya kifo cha medy kutoka kwa msahuni
Green Guard ilifutwa?Red brigade ilifutwa
Haipo πΌGreen Guard ilifutwa?
Dereva wa Tundu Lisu anakuja kuvunja Yai viza πKABENDERA kapasuwa JIPU