TANZIA Ustaadhi Juma Zuberi Ali Afariki Dunia Alitibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Ustaadhi Juma Zuberi Ali Afariki Dunia Alitibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Tunatoa Pole kwa wafiwa

Marehemu atafanyiwa Maziko kesho February 01, 2022 Kwamndolwa Korogwe Tanga

FB_IMG_16436224084049913.jpg
 
Huyo ni Mdogo wake Mufti wa Bakwata Sheikh Zubeir
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa watu mnataka kupangiana mpaka cha kuandika, hapo jamaa alikua anamaanisha
إنّا لله وإنّا إليهِ رَاجعُون.
hajui kuna typing error watu WaPo kwenye majonzi yeye analeta utoto
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa watu mnataka kupangiana mpaka cha kuandika, hapo jamaa alikua anamaanisha
إنّا لله وإنّا إليهِ رَاجعُون.
Bwana eh ubinadam kazi

Ova
 
Poleni sana kwa msiba wa Ustaadhi Juma Zuberi Ali (Mdogo wake Mufti). Ila nilitamani sana kufahamu maana ya hilo neno "Allahu Yarhamhuu" Lina maana gani?
 
Back
Top Bottom