Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Nchi zetu za Afrika zimejaliwa ardhi kubwa na ujenzi wetu wengi ni ujenzi usiopimwa.
Mijjni uhaba wa ardhi umeshaonekana na kuna watu wanaoweza kubuni makazi ya watu wengi katika eneo dogo.
Picha ni chumba kinachoweza kupangishwa na mtu asiye na familia, hiki chumba kinaweza kuwafaa hata wanafunzi wa chuo.
Ukiishi katika eneo kama hiki inabidi uwe na nidhamu. Unapovua viatu ujue kabisa unaviweka wapi. Kabla ya kununua hata kikombe ujue kabisa utakihifadhi wapi.
Wafanya biashara wa mijini wamegundua uwekezaji katika eneo dogo.