Ustaarabu na umakini unaweza kuipendezesha sehemu ndogo ya kuishi ikupatie mapumziko mazuri zuri

Kwenye kutandika Kitanda mimi mnisamehe bure, sifanyi hata siku moja na sijui kwa nini.
Hahaa, mimi hadi binti mlokole wa watu alinifundisha sala ya wakati wa kutandika kitanda baada ya kuamka.
Kila asubuhi anapiga simu kuuliza kama nimesali, najibu ndiyooo!
Lakini akija geto anakuta kitanda hakijatandikwa hadi neti iko imetanda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…