Kweli kabisa tatizo la hii nchi ni kwamba tulowapa madaraka ya kusimamia mambo yetu wamekuwa goigoi na hawajui wanatakiwa kufanya nini.... nadhani umefika muda sasa tuwapumzishe na tubadili hii system ya kizembe!!!:twitch:Nilikuwa najua watu wakiagiza magari wako radhi kupitia Bandari ya Kisumu, ili waingilie Sirari mpaka Mwanza, kuliko huu ujinga wa TRA..., lakini ukisema TRA pekee unawaonea.., bongo sekta zote zimeoza.., kuanzia juu mpaka chini, hii nchi ilishakosa DIRA kuanzia zamani ni mpaka sasa tumeshapotea na hatujui ni wapi tunakwenda
Nilikuwa najua watu wakiagiza magari wako radhi kupitia Bandari ya Kisumu, ili waingilie Sirari mpaka Mwanza, kuliko huu ujinga wa TRA..., lakini ukisema TRA pekee unawaonea.., bongo sekta zote zimeoza.., kuanzia juu mpaka chini, hii nchi ilishakosa DIRA kuanzia zamani ni mpaka sasa tumeshapotea na hatujui ni wapi tunakwenda
Nilimsikia mtaalamu mmoja akiongea pahali fulani akisema bandari za tanzania zingeweza kuendesha serikali ya tanzania bila ya kuomba msaada nchi za nje! Bandari tu! Lakini tatizo zinaendeshwa kisiasa mno! Akasema mtwara ina kina kirefu cha kuweza kutia nanga meli zote kubwa duniani. Ina kina cha asili. Naomba kusahihishwa.
Tumezungukwa na Land Locked Countries, nchi zote kama Rwanda, Burundi, Zambia n.k. tungeweza kupata pesa kutoka kwao kila wakileta mizigo.., Sasa iwapo Mtanzania mwenyewe wa Mwanza yupo radhi achukulie mizigo yake Kisumu..., Unategemea hawa majirani zetu watakubaliana na huu Upuuzi.
Lazima tukubaliane kuna tatizo kubwa sana na vichwa vyetu watanzania
Umewahi kujiuliza, hizo bandari zingekuwa zinamilikiwa na Wazungu hata kwa miaka 20 tu, zingekuwaje? Mimi naamini zingekuwa nzuri zaidi na huduma bora. Ni kweli tuna matatizo fulani.
Nilishawahi kuongea na mtu kutoka Canada alisema yaani maliasili za kanda ya ziwa tu.., zingeweza kulisha Tanzania nzima, yaani kwakweli ni aibu kuona jinsi tunavyoteseka bila sababu... Tena sometimes inabidi tuwashuru wakoloni sababu bila wao hata hizo reli huenda zingekuwa hazipo...
"In abundace of Water A Fool is Thirsty" Bob Marley
Mimi siju hata ni seme nini, natamani kutoa machozi kabisa.Jamani hivi ni nani aliyeturoga wa TZ!!!.Nilikuwa najua watu wakiagiza magari wako radhi kupitia Bandari ya Kisumu, ili waingilie Sirari mpaka Mwanza, kuliko huu ujinga wa TRA..., lakini ukisema TRA pekee unawaonea.., bongo sekta zote zimeoza.., kuanzia juu mpaka chini, hii nchi ilishakosa DIRA kuanzia zamani ni mpaka sasa tumeshapotea na hatujui ni wapi tunakwenda
I just hate dealing with any Govt official!!!
mombasa bandari is the best, better! hawana usumbufu as longer as ur papers are correct! mimi huwa Bandari ya dar siitrumii tena, wamoeza oza wote! wanatia kichefuchefu! wamerudisha sana maendeleo ya nchi yetu since we have no kiongozi.Hivi hiyo TRA ina viongozi kweli?? na kama yupo anaitwa nani!? hii kitu ni kero sana! wana nikera wana nikera wana nikera! i hate to say that!na wamenipa hasara sana pale Bandarini Dar! what a bunch of crappy service providers. Every time when i think or hear about TRA i feel so ashamed of being a Tanzanian.
Nilikuwa najua watu wakiagiza magari wako radhi kupitia Bandari ya Kisumu, ili waingilie Sirari mpaka Mwanza, kuliko huu ujinga wa TRA..., lakini ukisema TRA pekee unawaonea.., bongo sekta zote zimeoza.., kuanzia juu mpaka chini, hii nchi ilishakosa DIRA kuanzia zamani ni mpaka sasa tumeshapotea na hatujui ni wapi tunakwenda
Bandari ya Kisumu mmmhh hii imekaaje lakini jamani? ama ulimaanisha Mombasa?
Ninakuunga mkono kabisa bwana newmazalendo.
Huku ulaya mostly tunalipia kodi au ushuru kwenye internett