Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,388
- 7,223
Viongozi wetu sijui huwa wanawaza Nini. Kwa kweli kama ni msafiri wa mabasi ambaye umeanzia safari yako Magufuli Terminal nadhani umeshakumbana na hii kero hasa kwenye kuingia ndani ya stand kwa kutumia kadi.
Lengo lilikuwa zuri but utaratibu ndo mbovu, yaaani mwenye misuli ndiye atapata kadi kwa haraka it's real struggle Zaidi ya daladala za Mbagala.
Mwisho wa siku zile kadi hawaziswap kwenye mashine, kwa maana kwamba geti linafunguliwa watu waingie tu kutokana na wingi wa watu. Sijajua hapa kwenye ishu ya mapato inakuaje?
Mimi nashauri uongozi wa hii terminal kufikiria nje ya box na kutafuta utaratibu ambao hakutakuwa kero kwa wananchi.