Usumbufu wa kupata mkopo akiba commercial bank

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,377
Reaction score
1,197
Mimi ni mdau wa benki husika ambaye nimeanza kufuatilia mkopo wa biashara kulingana na matangazo yao kuwa wameboresha huduma zao pia muda wa kuomba mkopo umepungua hadi wiki 2 iwapo utakidhi vigezo walivyojiwekea.

Matangazo yao yalinivutia na kuamua kuwasiliana nao kupitia tawi mojawapo jijini Dar Es Salaam. Maajabu baada ya kuwasilisha viambatanisho vilivyohitajika na kutembelewa nyumbani kwangu na sehemu ya biashara, tangia wiki ya mwisho ya Julai 2018 imekuwa ni nenda rudi, hadi nimechoka sijapata mkopo wala OFFER.

Kwa kweli kitengo cha mikopo ACB jijini Dar Es Salaam, wilayani Temeke ni bangua kichwa, maofisa mikopo kwa ujumla hawana ushirikiano kwa wateja wao, pia hawana kauli za kutia moyo na hawapo wazi.

Nawasilisha kwa wadau wenzangu mnipe uzoefu kwa benki zingine ili niachane na ACB!
 
Itakuwa wameona haujakidhi vigezo,wasiliana nao uwaulize vipi mbona hawakupi kama kuna tatizo lolote watakuelezea
 
Asante, nitafuatilia hatahivyo wana documents zangu ikiwemo hati ya kiwanja. Kimsingi afisa mikopo aliniambia vigezo vya kukopesheka ninavyo
 
Hadi kufikia hatua hiyo ni wewe kuwasiliana nao kuwauliza nini kinakwamisha ,inabidi wakutaarifu kila hatua
Asante, nitafuatilia hatahivyo wana documents zangu ikiwemo hati ya kiwanja. Kimsingi afisa mikopo aliniambia vigezo vya kukopesheka ninavyo
 
Wakatie mshiko uone kama kesho jioni itapita hawajakuingizia kwenye account yako,jaribu kufanya hivyo halafu ulete mrejesho
NB:KUMBUKA MKONO MTUPU HAULANBWI NA MBWA
 
Nimekupata mkuu, nitaufanyia kazi ushauri wako hatahivyo SISI WALOKOLE ROHO INASITA KUFANYA HIVYO
 
Benki nyingine ndio maana zinakufa kutokana na wafanyakazi wa hovyo wanaoajiri.. Utakuta mtu anakujibu utafikiri umemwambia akununulie chakula kumbe ndio kazi inayomlisha. Pole mkuu
 
Mimi ni mdau wa benki husika ambaye nimeanza kufuatilia mkopo wa biashara kulingana na matangazo yao kuwa wameboresha huduma zao pia muda wa kuomba mkopo umepungua hadi wiki 2 iwapo utakidhi vigezo walivyojiwekea. Matangazo yao yalinivutia na kuamua kuwasiliana nao kupitia tawi mojawapo jijini Dar Es Salaam. Maajabu baada ya kuwasilisha viambatanisho vilivyohitajika na kutembelewa nyumbani kwangu na sehemu ya biashara, tangia wiki ya mwisho ya Julai 2018 imekuwa ni nenda rudi, hadi nimechoka sijapata mkopo wala OFFER. Kwa kweli kitengo cha mikopo ACB jijini Dar Es Salaam, wilayani Temeke ni bangua kichwa, maofisa mikopo kwa ujumla hawana ushirikiano kwa wateja wao, pia hawana kauli za kutia moyo na hawapo wazi. Nawasilisha kwa wadau wenzangu mnipe uzoefu kwa benki zingine ili niachane na ACB!
nenda equity mkuu, hawana longolongo, lkn unatakiwa uwe mteja wao kwa muda usiopungua miezi matatu.
 
Mkuu pengine kwa mawazo yako binafsi unaweza ona umekidhi vigezo ila wao wakiangalia wanaona kuna baadhi ya vitu unamiss, hivyo kinachofanyika ni kukuzungusha mpaka ukate tamaa.
 
Mimi ni mdau wa benki husika ambaye nimeanza kufuatilia mkopo wa biashara kulingana na matangazo yao kuwa wameboresha huduma zao pia muda wa kuomba mkopo umepungua hadi wiki 2 iwapo utakidhi vigezo walivyojiwekea.

Matangazo yao yalinivutia na kuamua kuwasiliana nao kupitia tawi mojawapo jijini Dar Es Salaam. Maajabu baada ya kuwasilisha viambatanisho vilivyohitajika na kutembelewa nyumbani kwangu na sehemu ya biashara, tangia wiki ya mwisho ya Julai 2018 imekuwa ni nenda rudi, hadi nimechoka sijapata mkopo wala OFFER.

Kwa kweli kitengo cha mikopo ACB jijini Dar Es Salaam, wilayani Temeke ni bangua kichwa, maofisa mikopo kwa ujumla hawana ushirikiano kwa wateja wao, pia hawana kauli za kutia moyo na hawapo wazi.

Nawasilisha kwa wadau wenzangu mnipe uzoefu kwa benki zingine ili niachane na ACB!
Achana na hao, CRDB ni the best bank. Ukikamilisha document zote mkopo unapata ndani ya siku tatu kamili. Chukua maamuzi yaliyo sahihi Kwa banki sahihi.
 
Mkuu, kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi.. Yawezekana kwa kukunyima wanakuepusha na balaa. Majuzi kuna nyumba niliona ina mabandiko ya makaratasi kadhaa yanasomeka hv: "NYUMBA HII NI MALI YA NMB, ITAUZWA KWA MNADA KUFIDIA MKOPO TAREHE ...."

Kuna mwingine alikopa m20, amelipa weee hadi akafunga biashara kwa kufilisika. Akasusua kumalizia deni ila ilikuwa balance kdg ya 1,5m. Siku amerudi jioni ijumaa, anakuta nyumba ishabandikwa matangazo ya mnada kesho yake. Kwa bahati usiku alirushiwa hyo amount kny cm na jamaa yake toka mkoani akaokoa mambo. Nyumba yenyewe ni kama ya m100+......sijui wangeuza bei gani
 
Kweli kabisa baada ya kusota kwao miezi 2 unusu, mwishowe nikaachana nao, imebidi niuze sehemu ya site yangu huko Chanika, maisha yanasonga mbele, tena nimejiona mjinga kwa nini nimepoteza muda mwingi huku nilikuwa na chanzo kizuri cha kuongeza mtaji
 
Umefanya vzr ku-raise fedha yako mwenyewe. Pressure ya mkopo c mchezo, hasa hasa kama project ni mpya
 
Back
Top Bottom