Serikali itusaidie wanafunzi wa CBE Campus ya dar tumejisajili diploma ya miaka mitatu lakini hadi sasa hatujaanza kusoma na tayari tumemaliza certificate lakini wanasema hatuwezi kuendelea kusoma masomo ya jioni na hatuelewi ni kitu gani kinaendelea na hatuelewi kama tutasoma au ndo tumemaliza kusoma hiyo certificate