mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Habrini za muda huu wadai wa JamiiForums?
Leo nina jambo moja nataka kuzungumzia kuhusu kero ya kufuatilia mafao yako NSSF ya kukosa kazi/ajira au kufukuzwa kazini.
Hatua ya kwanza unakwenda NSSF kuangalia michango yako kama mwanachama kama haujawahi kwenda na hauna kadi.
Ukishajua michango yako sasa unakwenda kwa mwajiri wako akakupe barua ya kwenda NSSF. Mwajiri wako atakupa barua mbili za kupeleka NSSF.
NSSF wataisoma halafu watakupa sasa barua za kupeleka kwa mwajiri wako akajaze na zingine utapeleka benki kujaziwa.
Picha linaanza unakwenda kwa mwajiri wako anakujazia vizuri unakwenda benki wanakujazia vizuri. Unapewa na benki statement ya siku husika unarudi NSSF kuzurudisha.
Hapo ndipo patamu.
Ukifika unaambiwa UKAE MWEZI MMOJA NDO UZIRUDISHE FOMU KWAO. Kumbuka wewe umeenda siku hyo ukijua kuwa utamaliza mambo yote siku moja na bank statements umeomba umekatwa 1600+. Ila hawezi kutumika tena sababu ukirudisha focus unatakiwa uwe na bank statements ya siku husika na mwezi husika kwa hyo hapo inakuwa imekula kwako.
Kwa uchovu na kuchoka unarudi nazo fomu zako mpaka nyumbani. Unakaa nazo mpaka mwezi mmoja uishe unazilinda zisije kuliwa na panya. Unavumilia kazi hauna mafao ndo hayo.
Kweli Mungu anajaalia unafikisha mwezi kwa mbinde inafika ile tarehe ya kurudisha fomu unaenda kurudisha. Unafika vizuri wanakupokea na wanazipokea wanazikagua wakiridhika nazo wanakwambia saaa unatakiwa ukae WIKI 2 tena ndo utaitwa kwenye kufungua madai ya mafao baada ya wiki mbili hizo unatakiwa ukae tena ndani ya wiki 2 au mwezi ndo uje ulipwe mafao yako. Sasa unajiuliza ule mwezi uliokaa kusubiri na fomu zako walikuwa wanataka wagundue nini?
Sawa nimekaa mwezi bado mnaniambia nikae tena wiki 2 ndo nije kufungua madai jamani NSSF huu ni usumbufu japo nyue wenyewe mnaona ni utaratibu ila una changamoto.
Ilitakiwa mtu ndani ya mwezi mmoja mtu awe amepata haki yake lakini wapi.
Amefanya kazi kwa nguvu, ameteseka, amegombana na maboss n.k
Na bado katika kulipwa jasho lake mumsumbue hii SIO SAWA.
Tunaomba mjirekebishe muda wa kusubiri mafao inatosha iwe MWEZI mmoja zaidi ya hapo ni USUMBUFU
AHSANTENI

Upvote
2