Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 643
- 1,016
Ndugu wahusika kumekua na usumbufu mkubwa kwa kampuni zilizopewa tenda ya kufunga ving'amuzi kwa magari ya Transit.
Bei hazieleweki, mtu akiamka ataviuza kwa 60,000/ siku nyingine mpaka inafika 80,000/ system zake zinasumbua, mda mwingine havisomi kwenye system.
Vinaleta usumbufu sana kwa wateja. Ningeshauri TRA kuviondoa tu, wateja wawe wanapita check point kama zamani, waviache kwenye MA container tu, Huu ni usumbufu Sana kwa wateja kwakweli.