"Uswahili-Uswahili" ndio umeshakuwa msingi wa maisha ya Mtanzania na kibaya zaidi hata katika issue zinazohitaji professionalism

"Uswahili-Uswahili" ndio umeshakuwa msingi wa maisha ya Mtanzania na kibaya zaidi hata katika issue zinazohitaji professionalism

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
20241115_162318.jpg


Screenshot_20241115-162236.png
 
Kwamba barua ya kuachishwa kazi imetoka leo asubuhi, mchana mshkaji kapanda ndege.... Amekataa kabisa kupoteza mda kwenye hii nchi ya waswahili
Ila twende na ukweli mkuu

Nini haswa cha msingi cha maana cha muhimu kilichofanya aachishwe kazi

Kama timu ina pafomu kulingana na viwnango vya wachezaji.

Yani hapo ni kwmaba tu wameleta ulimbukeni tu wa kujionesha kuww wako serious na kazi basi waakamuacha
 
Akili yangu inaniambia Gamondi kang'olewa kwasababu ya Jeuri na kibuli chale. Kama umemstad Gamondi ni mtu wa kupaniki na Jeuri haswa, kufanyakazi na mtu wa design hiyo ni ngumu sana hashauriki kwa chochote. Yanga Bingwa!
 
Imagine alimtumia Nkane mechi na Tabora mpaka Aucho Kawa Beki,halafu kibwana ambae ni beki hamtaki hii ilinipa maswali sana. Watu wamewekeza pesa wanataka makombe ukifungwa katika mazingira hayaa huponi,Nawaamini viongozi wako focused hivyo Wananchi tuyapokee mabadiliko.
 
7 - stop
7 - stop
7 - stop
7 - stop
8 - kwangu
8 - kwangu
J - Naomba Mavi
Last card
3 - Nimemaliza.
 
Back
Top Bottom