Uswahilini kuna vituko

Uswahilini kuna vituko

lunogelo

Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
46
Reaction score
5
Jamaa alikuwa ana mke na watoto wa wawili(mmoja wa miaka saba na wengine wa miaka mitatu hivi) wakati kapanga chumba kimoja huku kwetu uswahili kama unavyoelewa tena kitanda chenyewe kimoja so mtoto mdogo, baba na mama wote wanalala kitandani wakati mtoto mkubwa analala ktk kigodoro chake chini.

Kama ilivyo kawaida ya wanandoa ikifika usiku lazima kila mmoja amtimizie mwenzake haki ya ndoa, sasa kuna siku moja bwana ktk hekaheka za kula maraha si ndo wakamdondosha yule mtoto mdogo kutoka kitandani basi ile aibu mama akanyanyuka akamuokota na kumlaza upya baada ya bembeleza bembeleza ya dakika mbili tatu dogo akachapa usingizi.

Bwana we baada ya mda kidogo jamaa akadai tena sijui alikuwa hajaridhika baada ya kitendo cha dogo kuingilia kati, mama hakuwa na hiyana akamkubalia ile wanaanza tu yule mtoto mkubwa si ndo akaropoka kumwambia mdogo wake "wewe wameanza tena jishikilie vizuri ili usidondoke tena". Kumbe mtoto alikuwa anawachora tu mda wote basi ikawa bonge la soo na noma la kilo kumi!

Jamani tuzae kulingana na mazingira tunawakomaza watoto hawa!
 
Back
Top Bottom