Uswahilini na starehe za kulazimisha

Nimeshangaa juzi jirani kamtunza jirani mwenzake alikuwa na shughuli ya Ekarist, baada ya siku mbili kadai vitu vyake alivyotunza, na kweli mtunzwaji kapeleka na maisha yanaendelea.

Mke kaenda kwenye harusi ya jirani yake, karudi usiku wa 6 sijui 8 huko, mume kasubiri ndani ya siku mbili kampiga mkewe why arudi usiku hivyo, kesho yake mke kaaga anaenda sokoni ndy kimoja hajarudi, nyepesi nyepesi Kumbe mume alikuwa analishwa na mkewe, saizi anahaa hatari anapiga simu mke anajibu shit sana, ilikuwa siri sana saizi mtaa mzima unajua.

Wanaume wa uswazi mke ukiaga unaenda kwenye kitchen party, ukirudi anakagua pochi manyoya kama imetumika.

WANAUME WA USWAZI WENGI NI MABAHARIA
 
Uswahilini watu wanaishi maisha mabovu sana yasiyo na mwisho mzur wala staha,kuchukuliana wake,waume,kusengenyana na kulogana hayo ndyo maisha ya uswazi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukute choo cha kuflash, halafu jitu linaingia na MAJI kwenye kikopo, linajisafisha kitobo chake tu hilo linatoka, mwengine akijakuingia anaukuta mzigo juu umetuliaa, lazima haja ikuruke tu, sasa awe ameona Mama Fulani mwenye mdomo mwepesi, hapo atalianzisha kwa mafumbo na matusi ya rejareja, yaani ugomvi kila Leo, mwengine ikipita wiki bila kugombana anaweza kuugua Malaria na hospitali mkampeleka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…