Jioni kuna kaya zinakula nje kwenye jamvi, mtoto akitaka kukata gogo haendi mbali na nyinyi mnaendelea kula.
Uswazi side mirror hawajui wanaita "sight mirror", mind the double quotation marks katika uandishi in the original post
Hahaha mie nangojea mazawadi tu ole wako
Unangojea mazawadi na sio kuningojea mimi?!Hahaha mie nangojea mazawadi tu ole wako
Uswahilini watu wanaishi maisha mabovu sana yasiyo na mwisho mzur wala staha, kuchukuliana wake, waume, kusengenyana na kulogana hayo ndiyo maisha ya uswazi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Maandazi road nyingine ipo yombo vituka sifa yake kuu upatikanaj wa vitafunwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wamepanda bei
Hapana aisee unajua mimi choo kikiwa kichafu hata chakula sili vizuri mpaka nizoee hayo mazingira.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππHaya banaUnangojea mazawadi na sio kuningojea mimi?!
Au sijaelewa?