Uswazi jana nimewakubali

KING 360

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,002
Reaction score
5,192
Wana jf hope mko poa uku mkiendelea kumalizia malizia weekend uswazi kuna mashushu hatari iko hivi

Nina mwezi kama mmoja nimeamia uswazi hapa nilipoamia tunaishi wapangaji watatu wengine wote wanafamilia zao isipokuwa mimi ndio bado bachela ila hawa wenzangu familia zao wameziacha uko mikoani wapo uku kikazi na wote tunarudi usiku

Sasa ishu iko hivi upande wa pili toka nilipopanga kuna kakijiwe uwa naenda kupiga story mbili tatu na wenyeji wangu kuna siku alipita dada mmoja nikamuliza jamaa mmoja kama anafahamiana na yule dada akasema anamfahamu ila hana mazoea nae akaendelea kuwa kama naitaji mahusiano na yule binti nijiandae kupoteza mda wangu bure maana hadhani kama itawezekana nilichomeambia in kuwa sina nia hio nauliza th maana huyo binti namfananisha baada ya saund hiyo tukaamia story zingine

Siku moja baadae nikamtokea yule binti akazengua kama kawaida yao basi nikapiga moyo konde siku iliofuata nikamuibukia tena kama zari vile akanipa no nikaanza kuchombeza akaingia king ila akanambia kuwa hatopenda watu wajue kuwa anampenzi mtaani hapa nikamjibu kuhusu hilo hasijari maana me pia huwa sipendi mausiano yangu yajulikane

Sasa ijumaa tukapanga aje kwangu nilikopanga sasa hili kuhakikisha hakuna anaejua kinachoendelea kati yetu tulikutana sehemu kwa siri sana nikampa funguo aende mpaka geto me nakuja nyuma uku nikiangalia usalama

Basi binti kaenda kafungua mlango kaingia baada ya mda nikafika pale nikajikalisha pale nje uku naangalia Kama kuna watu wanafatilia mchezo baada ya kujilidhisha hakuna wachawi nikafungua geti la nje lililokuwa limeegeshwa nikazama ndani nikaingia mpaka kwangu nikamkuta binti anatabasam tukapiga story mbili tatu nikala mzigo mpaka saa nne usiku wapangaji wenzangu wamesha lala ili watu wasishtukie mchezo ikabidi nisimsindikize basi binti akaondoka chakushangaza jana juma mosi nakuta story yote kijiweni
 
Uswazi huwa kumefungwa CCTV camera zisizoonekana. Huzioni ila zinakuona na zinaku-zoom kabisa.
 
Dah..kumbe ndiyo wewe? [emoji15]
Ulitumia football? Maana .....[emoji13]
 
misifa mingine ya kijinga / kitoto
kama kaambukizwa utachukua gharama kubwa kukanusha
miaka hii si ya kujisifu kubandua gonjwa halichaguai
ni hapo utakapoanza kutafuta kadi ya BIMA /Kliniki
 
misifa mingine ya kijinga / kitoto
kama kaambukizwa utachukua gharama kubwa kukanusha
miaka hii si ya kujisifu kubandua gonjwa halichaguai
ni hapo utakapoanza kutafuta kadi ya BIMA /Kliniki
Hhaaha hili povu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…