PutinV
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 1,046
- 1,643
Salaam wana Jf.
Bila kupoteza wakati naomba kwenda kwenye mada moja kwa moja. Kuna mahali nimepata wazo la kufungua biashara ya kuchoma ndizi na mishkaki, lengo langu ni kutengeneza bidhaa zenye quality na ambazo hazitachokwa na wateja kwa haraka.
Naomba kwa yeyote mwenye utaalamu wa ziada katika kuongeza ubora wa bidhaa tajwa hapo juu, hasa ndizi anishirikishe. Naona kama kuweka ndizi juu ya mkaa tu haitoshi, kuna ufundi wa ziada unahitajika.