Mtafute electrical engineer aweze kukagua wiring ya nyumba yako na kutoa ushauri, hakikisha una circuit breaker nzuri, powder fire extinguisher ya 15 kg hivi kama kuna emergency. Jitahidi kuweka power surge protector katika baadhi ya vifaa kama TV, fridge, AC ...........
Tatizo kubwa ni ubora hafifu wa vifaa vya umeme katika soko letu, asilimia 90% ni poor quality materials from china.