Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,659
Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu kitu kinachosababisha watu kusalitiana kwenye mapenzi, nimefanikiwa kupata sababu sahihi za jambo hili achilia mbali ile sababu ya uovu wa kibinaadamu unaomsukuma kufanya ngono kama sehemu ya starehe bila kujali kwamba ni kitendo kitakatifu kwa mjibu wa kitabu ninachokiamini mimi.
Kitu kilichonisukuma kufuatilia jambo hili na wimbi kubwa la waganga wa kienyeji walioibuka na madawa kemu kemu kwa madai kwamba wanaongeza mvuto wa mapenzi, uwezo wa kufanya ngono n.k. Nimekuwa siwaamini waganga wa kienyeji kabisa kabisa, na hivyo nilipokuja gundua kwamba watu hawa wanaminika sana kwenye jamii yetu nikapata hint kwamba inawezekana kwamba ni kweli kuna tatizo kwenye mahusiano yetu ya kimapenzi lakini pia solutions wanazo offer sio kweli sababu siwaamini.
Nilichogundua ni kitu kifuatacho.
Achilia mbali kabisa wanyama. Binaadamu toka baada ya kuzaliwa hujifunza kila kitu, kwa maana ya kuelekezwa namna ya kukifanya, tofauti na wanyama ambao wao baada ya kuzaliwa tu chap chap wanaanza kufanya kila kitu kinachofanywa na wazazi wao, na kama sio chap chap basi huchelewa kwa kusubiri viongo vyao kuimarika kidogo tu lakini hawapiti katika process yoyote ya maelekezo.
Binaadamu lazima afundishwe kula, kuongea, kutembea, kuoga nk, isipokuwa namna ya kufanya ngono tu, HAPA NDIO TATIZO LILIPO, Inapokuja kwenye ku do, ukitoa baadhi ya makabila machache ambayo upitisha mabinti zao katika unyago (japo sina hakika bado mafunzo ya ngono yanafundishwa kwa kiwango gani), asilimia kubwa zaidi ya watanzania/binaadamu hawapati mafunzo kwenye jambo ambalo wanalipa umuhimu mkubwa sana kwenye maisha yao.
Nina uhakika wa kutosha kwamba wanaume wengi ambao hupewa confirmation mahospitalini kwamba wanaupungufu au hawana uwezo wa kumpa mwanamke mimba tatizo lao kubwa huwa ni kukosa ufahamu wa namna wa kufanya mapenzi na wachache sana ndio huwa na matatizo ya kiafya.
Kwa sababu ya usiri unaoligubika swala hili kwenye jamii zetu, watu wengi huishia kufanya mapenzi kama wanyama, watu wanafanya mapenzi kwa kutumia instinct, in born knowledge, inborn knowledge iliyokamilika ni ya wanyama tu, ya binaadamu iko very wrong, binaadamu anatakiwa kupata proved knowledge sio kufanya mambo kwa mazoea mazoea. Kama namna tunavyopata hasara kubwa kwenye mambo mbali mbali ya maisha yetu kwa kufanya mambo kwa mazoea badala ya facts na knowledge ndiyo hivyo nyanja ya mapenzi inapotulipeleka Taifa letu kwenye matatizo makubwa ya kijamii.kuvunjika kwa ndoa, kusalitiana, ngono za utotoni nk.
Kama wasomi wanaweza kufurahia maisha yao kutokana na elimu waliyojipatia, hata wale waliopata elimu sahihi ya namna ya kubanjuka, huwagusi kwa furaha.