Utabadilishaje vyeti vya chuo kwa waliosoma nje ya Tanzania?

Utabadilishaje vyeti vya chuo kwa waliosoma nje ya Tanzania?

Msuya Jr.

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2013
Posts
1,691
Reaction score
899
Jamani naomba kuuliza nikitaka kubadili vyeti vyangu form 4,6 na chuo kwa mfumo wa Tanzania, niende wapi?

Na je, itanigharimu shilingi ngapi?

Msaada kwa wanaojua.
 
cha 4 na 6 nenda necta opposite tbc ni 50,000 each
cha bachelor degree nenda tcu ni 50,000
cha masters degree nenda tcu ni 100,000
thou kuna some steps za kufanya on the website
 
Back
Top Bottom