TAIFAKWANZA
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 162
- 67
Igweeeeee!
Kesho itakuwa ni siku ya tatu na ya mwisho ktk ratiba ya kufanya masomo mawili yaliyo baki ambayo ni tehama na kifaransa.
Ufuatao ni utabili wa jinsi itakavyo kuwa ktk mtihani huo unaotarajiwa kuanza kesho asubuhi tarehe 22.11.2013 kuwa mtihani huo utatawaliwa na maswali mengi ya maktaba kompyuta wakati shule nyingi hazina umeme na mbaya zaidi somo hilo halifundishi mashuleni kutokana na upungufu wa vitabu na walimu wenye weledi na mashine hizo
So; tusitegemee kufika mbali ktk elimu hapa bongo.