UTABIRI:-75%ya wabunge la katiba kugombea ubunge 2015

Rummashi

Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
43
Reaction score
6
Hii ni mitizamo chanya,na sababu zake za msingi ni kama zifuatazo:-
1.wanapata airtime ya kutosha.
2.watajivunia uzoefu bungeni.
3.ukaribu na wanasiasa wakongwe,
4.ladha ya ubunge[posho]
5.hadhi kati ya mbunge na mfanyakazi
6......................................................
7......................................
Endeleza endapo mawazo yangu unayaafiki, twende pamoja....
 
wabunge au wajumbe????
 
chombo ni bunge maalum la katiba ,muhusika ni mbunge wa bunge la katiba,mjumbe na mbunge ni uhusika tu
 
Ni kweli wameshaonja utamu wa posho kubwa bila jasho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…