Murano JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 2,056 Reaction score 1,102 Jul 17, 2014 #1 Utabiri,utabiri,utabiri ili uwe mtabiri ni vitu gani unapaswa kuvizingatia?je utabiri unahusishwa na majini? je mtu yeyote anaweza kuwa mtabiri? je utabiri ni kipaji born with? kwa wale watabiri waliopo humu JF ningependa wafunguke kuhusu hayo UTABIRI SPECIAL THREAD #Mjadala_Umefunguliwa Nawasilisha
Utabiri,utabiri,utabiri ili uwe mtabiri ni vitu gani unapaswa kuvizingatia?je utabiri unahusishwa na majini? je mtu yeyote anaweza kuwa mtabiri? je utabiri ni kipaji born with? kwa wale watabiri waliopo humu JF ningependa wafunguke kuhusu hayo UTABIRI SPECIAL THREAD #Mjadala_Umefunguliwa Nawasilisha