Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ni imani yangu Nape yuko CCM kwa sasa ili tu kulinda ubunge wake na hata mahaba aliyonayo kwa viongozi wa chama chake ni mahaba fake tu ili mradi alinde kibarua chake.
Ukimchunguza Nape utagundua ana imani na sana na chama chake(itikadi ya chama,n.k) ila uongozi uliopo haviivi kutokana na mambo kadhaa na yeye hili analijua.
Hivyo,ni vigimu sana kwa yeye kuendekea kubaki katika chama hiki na hata hapo alipo huenda hana uhakika wa jina lake kupenya mwaka 2020 iwapo atawania ubunge kupitia chama hicho.
Kwa mazingira haya,option pekee atakayokuwanoyo ni kutafuta chama cha upinzani kitakachomdhamini kugombea ubunge mwaka 2020 na hiki si kingine bali ni ACT-Wazalendo na si CHADEMA wala CUF.
Nape, kwa kujiunga ACT,moja kwa moja ataingia katika ushirika wa UKAWA na CHADEMA na CUF watalazimika kumpigia kampeni kama mgombea wa chama kinachounda UKAWA(kama UKAWA itaendelea kuwepo hiyo 2020 au wataunda umoja mpya kwa jina lingine).
Hata hivyo,naomba niwatahadharishe mapema kuwa Nape ndani ya ACT na UKAWA kwa ujumla,atakuwa yuko UKAWA kimwili tu lakini kiroho atakuwa CCM(CCM imemuathiri sana kiimani) na huenda atawayumbisha sana wenzake katika yale watakayokuwa wanakubaliana.
Kwa kifupi,Nape ndani ya ACT na ndani ya UKAWA kwa ujumla,atakuwa hana tofauti Shibuda aliekuwa ndani ya CHADEMA enzi zile.
Time will tell unless mambo yanabadilika na yeye aendelee kubaki ndani ya CCM.