Utabiri: Baada ya saa 21:00 zitasikika kelele za hutamtaki mangungu

Mleta mada yupo kwa shemeji anaosha vyombo si unajua mambo ya kukaa kwa shemeji lazm ujitume upate ugal wa bure
 
yapata saa 22:41 kelele hizo bado hazisikiki!!
 
Ww mavi yalikuwa yanakubana sio Bure!

Umeshakula lakini kijana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…