Hili kombe mpaka sasa halina mwenyewe ,yeyote anaweza chukua.Jana bayern kacheza mpira mbovu na round ya kwanza kama sevilla yule jamaa yao Ever banega asingekuwa na kadi mbili za njano ,bayern wasingetoka kwani jana kakichafua vibaya sana pale kati.Madrid mwenyewe mbereko tu za refa jana,lkn nae nyuma mweupe.