Utabiri: Bingwa wa Uefa Champions League msimu huu atakuwa Man City

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Pep Guardiola na Man City yake wanaenda kutwaa ndoo ya UCL hapo juni mwaka huu.

Man City kabla ya fainal atakutana na wachovu Real Madrid, ambapo mechi ya kwanza Bernabeu itaisha droo ya 1-1

Kisha mechi ya marudiano Etihad, Man City ataibuka na ushindi wa goli 2-0. Na kujikatia tiketi ya fainali ambapo atakutana na mchovu mmoja wapo kati ya Inter Milan au Ac Milan.

Mwaka huu Guardiola anatwaa UCL kwa mara ya kwanza bila Messi.
 
Yaani Real Madrid waamue "sasa tunalitaka hili kombe" kuna kenge yoyote atakatiza mbele?
 
Real madrid ya bamako
 
Nakazia na hao wote waliokutusi watakuja kuona aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…