Snitch2020
Member
- Aug 24, 2017
- 77
- 91
Habari za asubuh wapendwa. Nimekuwa nikiona wasanii mbali mbali ambao siku hizi lazma watafite kiki kisha baadae kutoa wimbo. Hii ni moja ya mbinu ya pekee wanayoona ni rahisi kuvuta attention ya watu upande wao kabla ya kutoa ngoma. Bob junior(zilipendwa) ameamua kuanzisha bifu rasmi na diamond platnumz from nowhere akidai kuwa ametengwa. Kwasasa kama unataka kuvuta watu wengi basi mchafue diamond na utaona jinsi unavyopata attention. Tulikuwa tumeshamsahau ila baada ya kumuandika diamond sasahivi anapata hadi interviews kwenye tvs na radios. Nahitimisha kwa kutabiri kuwa soon tutasikia ngoma ya bobjunior.
UJUMBE:Simba atabaki kuwa simba,Pambana na hali yako.
Wako mtiifu katika ujenzi wa taifa Snitch2020
UJUMBE:Simba atabaki kuwa simba,Pambana na hali yako.
Wako mtiifu katika ujenzi wa taifa Snitch2020