Utabiri: Bob junior kutoa wimbo

Snitch2020

Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
77
Reaction score
91
Habari za asubuh wapendwa. Nimekuwa nikiona wasanii mbali mbali ambao siku hizi lazma watafite kiki kisha baadae kutoa wimbo. Hii ni moja ya mbinu ya pekee wanayoona ni rahisi kuvuta attention ya watu upande wao kabla ya kutoa ngoma. Bob junior(zilipendwa) ameamua kuanzisha bifu rasmi na diamond platnumz from nowhere akidai kuwa ametengwa. Kwasasa kama unataka kuvuta watu wengi basi mchafue diamond na utaona jinsi unavyopata attention. Tulikuwa tumeshamsahau ila baada ya kumuandika diamond sasahivi anapata hadi interviews kwenye tvs na radios. Nahitimisha kwa kutabiri kuwa soon tutasikia ngoma ya bobjunior.
UJUMBE:Simba atabaki kuwa simba,Pambana na hali yako.
Wako mtiifu katika ujenzi wa taifa Snitch2020
 
[HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG] halaf wanataka kumhusisha Na MUNGU .....♤₩%☆ BobJnr pesa alipata akaishia kuzimaliza kwa malaya wa bongoMuvi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uko nyuma sana snitch...a week ago bob junior mwenyewe alisema anatoa nyimbo mbili na hadi clips za vids zilioneshwa...

huo wako sio utabiri upe jina jingine tu
 
[HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG] halaf wanataka kumhusisha Na MUNGU .....♤₩%☆ BobJnr pesa alipata akaishia kuzimaliza kwa malaya wa bongoMuvi

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa mkuu kama sio starehe na umalaya wa kijinga jamaa angekuwa yuko vizuri sana kiuchumi tatizo anakumbuka shuka teyari kumekucha.

-Ndumilakuwili-
 
utabir wap ww na wakat Alfanyiwa intaviu wiki ilopta akasema atatoa ngoma kAma mbili

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
uko nyuma sana snitch...a week ago bob junior mwenyewe alisema anatoa nyimbo mbili na hadi clips za vids zilioneshwa...

huo wako sio utabiri upe jina jingine tu
utabir wap ww na wakat Alfanyiwa intaviu wiki ilopta akasema atatoa ngoma kAma mbili

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Hahaha... Ivi opposite ya utabiri ni nini?
OK guys. sikubahatika kuona hizo habari ila cha msingi ni kuwa anatafuta njia ya kupata umaarufu zaidi kupitia Diamond
 
Bob junior atipotra kufuja mali sasa anataka kurudi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…