Utabiri: CAFCL up to final

Mimi naomba nioneshe uzi wako ulivyotabiri makundi ilivyokuwa wiki moja before. Maana nimejaribu kuangalia katika makaburi yako ya nyuzi ulizoanzisha sijafanikiwa kuona utabiri wako wowote ule.
 
Mimi naomba nioneshe uzi wako ulivyotabiri makundi alivyokuwa wiki moja before. Maana nimejaribu kuangalia katika makaburi yako ya nyuzi ulizoanzisha sijafanikiwa kuona utabiri wako wowote ule.
Utabiri haupo ni kujitafutia ujiko na uzushi.Nashukuru umekuwa critical thinker.
 
Mimi naomba nioneshe uzi wako ulivyotabiri makundi ilivyokuwa wiki moja before. Maana nimejaribu kuangalia katika makaburi yako ya nyuzi ulizoanzisha sijafanikiwa kuona utabiri wako wowote ule.
Jf waliunyofoa
 
Uzuri ww c miongoni mwa wale wawili aliewataja mzungu pori wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Tui
Haha ya moyo wako imetimia.
 
Huu utabiri wako itakua umechungulia kwenye kichwa changu.
Sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…