Mama akina makamba na nape ndo watakoiua ccm .jpm polepole na bashiru alijitahidi kila namna kufanya chama kiwe cha watu waote leo bila aibu nape anasema eti CCM ina wenywe ..tusubiri hao wenyewe watakuwa akina naniKule Kenya kulikuwa na chama imara na kilicho tikisa taifa kilichoitwa Kanu.
Hakuna asie juwa vile Kanu chini ya Kenyata na Mzee Moi kilivyo watoa kamasi wakenya...
Ili Wamsome yeye hapa ulimaanusha niniUmenikumbusha mbali sana mdogo wangu alisoma Gusii miaka hiyo ujinga uliokuwepo wa kumuimba Moi asubuhi parade alikua anaushangaa sana..
Na mara kupewa yale maziwa ya packet mchana...
Mama Samia anakopa unafikiri ni akili za wanawake wenzake wanaokopa VICOBA. Amejisahau kuwa yeye ni Rais.Lichama lizee life tu hatuwezi kuendelea kutegemea tozo na mikopo wakati tuna rasilimali za kila aina.
Maziwa ya nyayo nimekunywa sana pande hizoUmenikumbusha mbali sana mdogo wangu alisoma Gusii miaka hiyo ujinga uliokuwepo wa kumuimba Moi asubuhi parade alikua anaushangaa sana..
Na mara kupewa yale maziwa ya packet mchana...