jombaa askari
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 494
- 530
Wakuu tuwekeni utabiri hapa kuhusu kocha atakaefuatia baada ya mzee wenger kuondoka mwishoni mwa msimu huu
Mi nadhani luis enrique atatufaa zaidi hasa kutokana na staili ya uchezaji wa arsenal
Mi nadhani luis enrique atatufaa zaidi hasa kutokana na staili ya uchezaji wa arsenal