jombaa askari
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 494
- 530
Kwa kweli, aje manager mwenye falsafa ya kucheza mpira wa matokeo na burudani pia.Luis Enrique kwakweli atapendeza kuwepo pale Emirates
Nae atatufaa piaMassimiliano Allegri au Tito
Yuko vizuri piaTuchel. Aliyekuwa kocha wa BvB.
Yap.... Kwangu mi naona ndio anafaa zaidiLuis Enrique kwakweli atapendeza kuwepo pale Emirates
Wengine wanasema arteta pia atatufaa coz pale city alipo anapata ujuzi mzuri tu kwa pepKwa kweli, aje manager mwenye falsafa ya kucheza mpira wa matokeo ya burudani pia.
Yap.. Nae yupo vizuri na inabidi coach ajae awe mkali kwa wachezaji wazembe uwanjanDiego Simeone
Sio kwamba kaishiwa na mbinu yake ya mabeki watatu imefeli msimu huu?Hata Conte sio mbaya sana