Bakayoko? Huyu naye ni mchezaji! Anafaa kabisa kuchezea Simba/Yanga, hata mashabiki hawamtaki, bila shaka atatemwa mwisho wa msimu. N'golo Kante sawa.N'golo kante bakayoko anafaaa sana kuipa ubigwa arsenal
Chogo Kichogo
Thiery Henry/ Patrick Vieira
Diego Simeon
Massimiliano Allegri au Tito
Mrithi wa Arsene Wenger, atateuliwa na Board ya Arsenal FC, sio by JF Members. Mnapoteza tu muda wenu humu.
Alishatajwa Tuchel wa bvd na tayari kakataa offer ya bayern anaitaka arsenal.
Huyo ndo anafaa kabisaWakuu tuwekeni utabiri hapa kuhusu kocha atakaefuatia baada ya mzee wenger kuondoka mwishoni mwa msimu huu
Mi nadhani luis enrique atatufaa zaidi hasa kutokana na staili ya uchezaji wa arsenal
Hatumteui mkuu..... Ni utabiri tu na mapendekezo yetu binafsiMrithi wa Arsene Wenger, atateuliwa na Board ya Arsenal FC, sio by JF Members. Mnapoteza tu muda wenu humu.
Duh!! [emoji15] [emoji15]lwandamina atatufaa sana
Diego simione wataalam wa mpira hawampi chepuo kwa kuwa amekaa kihuni arsenal imamashabiki ndani ya royal family na ni timu ya waungwana.pia falsafa ya arsenal ni kucheza attractive football amboyo sio falsafa ya Diego simione